Nenda kwa yaliyomo

Walther Nernst

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 19:55, 16 Juni 2009 na Mr Accountable (majadiliano | michango) (mbegu-mwanasayansi)
Walther Nernst

Walther Hermann Nernst (25 Juni, 186418 Novemba, 1941) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Aliongeza utafiti wa kemia kwa jumla. Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walther Nernst kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.