Nenda kwa yaliyomo

Kesi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kesi ya Jean II, Duke of Alençon, Oktoba 1458.
Kesi ikiendeshwa huko California.

Kesi (kutoka Kiingereza: case kwa maana ya trial) ni utaratibu wa kuamua kisheria kati ya pande mbili zinazogombana au zinazoshindania kitu. Kwa ajili hiyo kuna mamlaka inayotumia ushahidi.

Siku hizi kesi nyingi zinaendeshwa na hakimu katika mahakama.

Kati ya kesi maarufu zaidi katika historia, ipo ile ya Yesu ambayo ilikuwa pacha: kwanza ya kidini mbele ya kuhani mkuu na baraza la Israeli, halafu ya kisiasa mbele ya liwali Ponsyo Pilato wa Dola la Roma. Hatimaye alipewa adhabu ya kifo.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kesi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.