Onyx
Onyx | |
---|---|
Chimbuko | South Jamaica, Queens, New York |
Miaka ya kazi | 1988–mpaka sasa |
Studio | JMJ, Def Jam Koch D3 Mad Money Goon Musick |
Ameshirikiana na | DMX, Wu-Tang Clan All City, Dope D.O.D., Snowgoons, Biohazard, Insane Clown Posse |
Wavuti | onyxdomain.com |
Wanachama | |
Fredro Starr Sticky Fingaz Sonny Seeza | |
Big DS (marehemu) |
Onyx ni kundi la hardcore hip hop kutoka eneo la South Jamaica katika Queens, New York, Marekani. Kundi linaunganishwa na marapa kutoka East Coast Sticky Fingaz na Fredro Starr. Sonny Seeza (zamani walikuwa wakijulikana kama Suavé na Sonsee) na hayati Big DS (Marlon Fletcher) nae vilevile alikuwa mwanachama; Big DS aliondoka baada ya kundi kutoa albamu yao ya kwanza. Miziki yao ilipata kutumika katika baadhi ya filamu kama vile How High na 8 Mile na vipindi vya TV kama vile The Cleveland Show na Tosh.0 vilevile matangazo ya biashara kama vile SoBe na Gatorade.
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]- Bacdafucup (1993)
- All We Got Iz Us (1995)
- Shut 'Em Down (1998)
- Bacdafucup Part II (2002)
- Triggernometry (2003)
- Wakedafucup (2014) (with Snowgoons)
Kompilesheni albamu
[hariri | hariri chanzo]- Cold Case Files (2008)
- Cold Case Files Vol. 2 (2012)
Ma-EP
[hariri | hariri chanzo]Against All Authorities (2015) Against All Authorities ni EP ya kundi la hip hop la Kimarekani Onyx ilitoletolewa mnamo tarehe 5 Mei, 2015 kupitia Mad Money Movement records.
Orodha ya nyimbo 1: Strike Bac (feat. SickFlo) 3:47 2: Against All Authorities 2:48 3: Look Like a Criminal (feat. Merkules) 4:02 4: Black Fatigue (feat. SickFlo) 3:34 5: Da Liquor Store (feat. Ras Kass, Jasia'n) 4:27 6: F**k Da Law 3:28