Nenda kwa yaliyomo

Manfred Nowak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nowak Katika semina ya kimataifa ya Salzburg 2007

Manfred Nowak (26 Juni 1950,huko Bad Aussee) ni mtaalamu wa haki za binadamu wa Austria, ambaye aliwahi kuwa ripota maalum wa umoja wa mataifa kuhusu mateso mnamo mwaka 2004 hadi 2010. [1] [2] [3]

  1. Global Campus of Human Rights. "Global Campus of Human Rights Website".
  2. University of Applied Arts Vienna. "Vienna Master of Arts in Applied Human Rights".
  3. OHCHR. "Manfred Nowak: Independent Expert for the United Nations Global Study on Children Deprived of Liberty".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manfred Nowak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.