Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UN News

Makala Maalum

Msaada wa Kibinadamu Leo katika kuadhimisha siku ya wahudumu wa  kibinadamu  duniani tunaangazia kazi za shirika la ndege la Umoja  wa Mataifa la huduma za kibinadamu UNHAS, nchini Burkina Faso.

Habari Nyinginezo

Amani na Usalama Wahusika wa uvamizi uliosabisha mauaji katika kijiji cha wapalestina huko Ukingo wa Magharibi, unaokaliwa na Israeli, lazima wawajibishwe ili kuzuia mashambulizi mengine siku za usoni, amesema Ravina Shamdasani, msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu (OHCHR) akizungumza na waandishi wa habari huko Geneva, Uswisi siku ya Ijumaa.  
Afya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres leo ametoa wito kwa pande zinazozozana huko Gaza kuweka chini silaha zao ili wahudumu wa kibinadamu waweze kuwachanja kwa usalama dhidi ya ugonjwa wa polio watoto zaidi ya nusu milioni.