Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

15 AGOSTI 2024

KatikaJ arida la Habari za Umoja wa Mataifa  hii leo Flora Nducha anakuletea 

-Baada ya shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, (WHO) jana Jumatano limetangaza mpox kuwa ni dharura ya afya ya umma kimataifa, hivyo sasa fahamu mambo matano muhimu kuhusu mpox. 

Sauti
10'

14 AGOSTI 2024

Hii leo jaridani mwenyeji wako Assumpta Massoi anakupatia taarifa kuhusu mapendekezo ya kudhibiti Mpox; Harakati za UNFPA Haiti kunusuru wajawazito na watoto wachanga; vijana na kile walichoondoka nacho baada ya maadhimisho ya siku ya vijana nchini Tanzania; Mashinani ni mabadiliko chanya kwa mku

Sauti
9'58"