Nenda kwa yaliyomo

Rangi nyeupe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:51, 11 Februari 2018 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Rangi Nyeupe hadi Rangi nyeupe: urahisi wa kuupata)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)
Ua lenye rangi nyeupe.

Rangi nyeupe ni rangi nyepesi zaidi, kwa sababu inaonyesha kikamilifu na kugawa kila mwangaza wa nuru.

Ni rangi ya theluji safi, chaki na maziwa, na ni kinyume cha nyeusi.