Nenda kwa yaliyomo

Cameron Diaz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cameron Diaz

Diaz mnamo Julai 2010
Amezaliwa 30 Agosti 1972 (1972-08-30) (umri 52)
San Diego, California, Marekani
Kazi yake Mwanamitindo (1988-1993)
Mwigizaji (1993-hadi leo)

Cameron Michelle Diaz (amezaliwa tar. 30 Agosti 1972) ni mwigizaji filamu wa Kimarekani. Mnamo mwezi Agosti, 2008, Gazeti la Forbes limemworodhesha Diaz kuwa kama mwigizaji wa kike anayelipwa pesa nyingi katika Hollywood.

Ameripotiwa kupokea kiasi cha dola za Kimarekani zipatazo milioni 50 katika kipindi cha mwishoni mwa mwezi Juni 2008, kwa kucheza katika filamu ya What Happens in Vegas na katika mfululizo wa tatu wa filamu ya Shrek.[1][2][3][4][5]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Diaz alizaliwa San Diego, California, binti wa Billie, Wakala wa kuuza na kununua kutoka nchi za nje na Emilio Diaz (1949 - 2008) ambaye alifanya kazi kampuni ya mafuta UNOCAL kwa miaka ishirini na zaidi mpaka alipostaafu mwaka 1998. Baba yake alikuwa Coban American. Babu na Bibi yake waliishi Tampa's Ybor City. Mama yake anajua kuongea Kiingereza na KIjerumani. Diaz ana dada yake mkubwa aitwaye Chimene Diaz ambaye alizaliwa 5 Juni 1970, San Diego.

Filamu alizocheza

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Filamu Jina alilotumia Maelezo na Tuzo
1994 The Mask Tina Carlyle
1995 The Last Supper Jude
1996 She's the One Heather
Feeling Minnesota Freddie Clayton
Head Above Water Nathalie
1997 Keys to Tulsa Trudy
My Best Friend's Wedding Kimberly Wallace
A Life Less Ordinary Celine Naville
1998 Fear and Loathing in Las Vegas Blonde TV Reporter
There's Something About Mary Mary Jensen
Very Bad Things Laura Garrety
1999 Being John Malkovich Lotte Schwartz
Any Given Sunday Christina Pagniacci
2000 Things You Can Tell Just by Looking at Her Carol Faber
Charlie's Angels Natalie Cook
2001 The Invisible Circus Faith
Shrek Princess Fiona (voice)
Vanilla Sky Julianna 'Julie' Gianni
2002 The Sweetest Thing Christina Walters
My Father's House The Girl
Minority Report Woman on Metro
Gangs of New York Jenny Everdeane
2003 Shrek 4-D Princess Fiona (voice)
Charlie's Angels: Full Throttle Natalie Cook
2004 Shrek 2 Princess Fiona (voice)
2005 In Her Shoes Maggie Feller
2006 The Holiday Amanda Woods
2007 Shrek the Third Princess Fiona (voice)
Shrek the Halls (TV) Princess Fiona (voice)
2008 What Happens in Vegas Joy McNally-Fuller
2009 My Sister's Keeper Sara Fitzgerald post-production
The Box Norma Lewis post-production
2010 Shrek Goes Fourth Princess Fiona (voice) filming
  1. Rose, Lacy (7 Ago 2008). "Hollywood's Top-Earning Actresses". Forbes Magazine. Iliwekwa mnamo 2 Nov 2008. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Hollyscoop.com Top 5 list of Hollywood's highest paid actresses 2008". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-10. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
  3. "Latina.com Diaz-hollywoods-top-earning-actress". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-10-02. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.
  4. "Only women to make it into top earners Adelaide Now News.com.AU". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-29. Iliwekwa mnamo 2008-08-29.
  5. "Small Bio & Quotes by Diaz". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-24. Iliwekwa mnamo 2008-12-24.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cameron Diaz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.