Nenda kwa yaliyomo

Kithai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kithai.
Eneo la Kithai.

Kithai ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya nchini Thailand pamoja na kuwa lugha mama ya Wathai, kundi kubwa la watu nchini Thailand.

Karibu watu milioni 70/75 wanazungumza lugha hiyo[1].

Ni lugha muhimu zaidi kati ya lugha za Kithai, ambazo zinaunda tawi la lugha za Kra-Dai.

Alfabeti

Alfabeti ya Kithai ina herufi 44. ก ข ฃ ค ฅ ฆ ง จ ฉ ช ซ ฌ ญ ฎ ฏ ฐ ฑ ฒ ณ ด ต ถ ท ธ น บ ป ผ ฝ พ ฟ ภ ม ย ร ล ว ศ ษ ส ห ฬ อ ฮ

Lugha ya Kithai ina tarakimu zake za pekee pia: ๑ 1 ๒ 2 ๓ 3 ๔ 4 ๕ 5 ๖ 6 ๗ 7 ๘ 8 ๙ 9 ๐ 0

Tanbihi

  1. Peansiri Vongvipanond (Summer 1994). "Linguistic Perspectives of Thai Culture". paper presented to a workshop of teachers of social science. University of New Orleans. uk. 2. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 20 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2011. The dialect one hears on radio and television is the Bangkok dialect, considered the standard dialect.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Wikipedia
Wikipedia
Kithai ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kithai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

.