Nenda kwa yaliyomo

Kizhuang-Dai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kizhuang-Dai ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wazhuang. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kizhuang-Dai nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 200 tu nchini Vietnam (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizhuang-Dai iko katika kundi la Kitai ya Kati.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizhuang-Dai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.