Nenda kwa yaliyomo

Memory Banda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Memory Banda

Memory Banda (amezaliwa Septemba 24, 1996) ni mwanaharakati wa haki za watoto wa Malawi ambaye amevuta hisia za kimataifa kwa kazi yake ya kupinga ndoa za utotoni.[1][2]

  1. "Memory Banda: #GIRLHERO and girl advocate - Girl Up", Girl Up, 2014-10-07. Retrieved on 2024-07-02. (en-US) Archived from the original on 2018-10-26. 
  2. Sheehan, Eleanor. "Meet the 19-Year-Old Activist Fighting Against Child Marriage", POPSUGAR News. (en-US) 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Memory Banda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.