Papa Honorius III
Mandhari
(Elekezwa kutoka Papa Honori III)
Papa Honorius III (1148 – 18 Machi 1227) alikuwa Papa kuanzia tarehe 18/24 Julai 1216 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cencio Savelli.
Alimfuata Papa Inosenti III akafuatwa na Papa Gregori IX.
Ndiye aliyethibitisha Kanuni ya Ndugu Wadogo iliyotungwa na Fransisko wa Asizi kwa ajili ya shirika lake (29 Novemba 1223).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |